Chriss brown baba wa mtoto wa miezi 9
Posted by Unknown on 18:36 with No comments
Kwa mujibu wa TMZ, muimbaji huyu wa R&B ana
mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa.
Mama wa mtoto huyo ni model wa zamani mwenye
miaka 31 aitwaye Nia, ambaye amemfahamu Chris
kwa miaka mingi. Nia na Chris wanadaiwa kuwa na
maelewano lakini hawana uhusiano.
TMZ imedai kuwa Breezy anafurahia kuwa baba.
Categories: Gossips.
0 comments:
Post a Comment