UPCOMING ARTIST

Posted by Unknown on 04:55 with No comments
Kutana na msanii chipukizi Simon Duzzu anayejulikana kwa jina One Darren. Msanii huyu machachari kutoka mji City without ocean Morogoro.
One Darren ni mwanamuziki wa miondoko ya RNB ambaye uimbaji wake ni wa kipekee sana tofauti na wasanii wengine wa bongo.

One Darren tayari kashaachia ngoma zake kadhaa zinazofanya vizuri katika chart mbalimbali.
Mkali huyu wa kibao cha missing girl na mwanamke gan ni moja ya wasanii ambao nawakubali sana kulingana na kazi nzuri anazofanya zenye mashiko .

Katika mziki wetu ubunifu unahitajika na kijana huyu kaonesha ubunifu wa hali ya juu katika kazi zake.





Kuvipata vibao vyake utavipata hapa kwenye blog la kijanja la Le Ambivert

posted from Bloggeroid

Categories: